Huwezi kusikiliza tena

Simu ya Fire Phone yazinduliwa

Amazon itaingia katika huduma za simu maalum mwezi ujao baaada ya kuzindua Fire Phone.

Mtambo huu una uwezo wa kutoa picha za aina ya 3D kwani una aina ya kamera za kufwatilia na kunasa picha katika sehemu yake ya mbele.

Taarifa hii na nyinginezo hizi hapa kwenye makala yetu ya teknolojia