Huwezi kusikiliza tena

Wafanyakazi wagoma Afrika Kusini

Wafanyakazi ambao ni wanachama wa chama kikubwa cha wafanyakazi nchini Afrika Kusini wameanza mgomo wakidai mishahara yao kuongezwa kwa kiwango kikubwa.

Wanachama hao wanataka mishahara kuongezwa maradufu kufuatia mfumuko wa bei nchini humo.