Huwezi kusikiliza tena

Malaika wafurahia Swaum ya Ramadhan

Waislamu kote duniani wanaendelea na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan ikiwa ni ibada ya kutimiza nguzo ya nne ya dini yao.

Je umepata kufikiria kuwa hata malaika wa mbinguni nao wanafurahia mwezi huo?

Ungana na Baruan Muhuza katika Makala hii..