Mkutano wa kimataifa wa maswala ya malipo ya uzeeni barani Afrika umeanza  mjini Abuja Nigeria.
Huwezi kusikiliza tena

Athari za ukuaji Afrika kwa wastaafu

Mkutano wa kimataifa wa maswala ya malipo ya uzeeni barani Afrika umeanza Jumatatu mjini Abuja nchini Nigeria.

Kwa sasa Nigeria ndiyo nchi iliyo na uchumi mkubwa Afrika na ina nafasi kubwa ya kukuwa.