Huwezi kusikiliza tena

Ghana haina vita vya kidini

11 Julai 2014 Imebadilishwa mwisho saa 13:41 GMT

Serikali ya Ghana imekanusha madai kuwa inakabiliwa na vita vya kidini.

Taarifa ya serikali ikikanusha madai hayo imetolewa baada ya mashabiki 200 raia wa nchi hiyo kuomba hifadhi nchini Brazil.

Maafisa wakuu nchini humo wanaamini kuwa raia wengi wa Ghana wanatafuta idhini ya kufanya kazi na kuishi nchini humo kihalali.