Huwezi kusikiliza tena

Benki za kiisilamu Tanzania

Ushindani wa biashara katika huduma za benki nchini Tanzania, umeshuhudia kuanzishwa kwa huduma za benki ya Kiislam, kuvutia wateja zaidi.

Takriban nusu ya idadi ya Watanzania ni Waislam.

Wataalam wa maswala ya fedha wanaashiria ukuaji zaidi katika huduma hizo ambapo hivi sasa tayari zinaonyesha kukua kwa asilimia ishirini kwa mwaka.

Mwandishi wetu wa Tanzania Aboubakar Famau ametuandalia taarifa ifuatayo.