Huwezi kusikiliza tena

Piga chapa kukomesha udukuzi?

Ujerumani imebuni mpango wa kupambana na udukuzi wa mitandao......kurejea katika mfumo wa kutumia piga chapa.

Katika mahojiano kwenye televisheni, mkuu wa kikundi cha wabunge kinachochunguza madai kuwa shirika la NASA lilifanya udukuzi nchini Ujerumani, ilisema sio mzaha kwamba wanataka kutumia teknolojia ya zamani.

Lakini huenda isikubalike. Kwa Taarifa hii na nyinginezo za teknolojia tazama hapa