Huwezi kusikiliza tena

Wasichana na ndoa za utotoni

Image caption FGM

Ndoa za wasichana chini ya maika kumi na minane zimeshamiri katika baadhi ya jamii zilizotengwa, eneo la Pokot magharibi mwa Kenya ni moja ya sehemu zenye ndoa hizo, huku wasichana wakiozwa kwa lazima. Mayatima huwa katika hatari zaidi ya kujikuta katika ndoa za jinsi hiyo. Mwandishi wa BBC Paul Nabiswa alitembelea eneo hilo la magharibi mwa Kenya na kuzungumza na wasichana wawili waliotoka katika ndoa ambapo alianza kuzungumza na Celestine Cheruto.