Huwezi kusikiliza tena

Vita dhidi ya janga la Ukimwi

Mkutano mkubwa zaidi wa weledi na wanaharakati wa ukimwi umeanza mjini Melbourne nchini Australia kujadili jinsi ya kuimarisha mwendo wa kupambana na maradhi hayo.

Mkutano huo unaofanyika mara moja kila miaka miwili uko katika awamu ya ishirini na unafanyika wakati kumepatikana motisha kuwa huenda ugonjwa huo ukathibitiwa katika miaka kumi na mitano ijayo.

Hii leo watu wachache zaidi wanafariki kutokana na ukimwi, ingawaje vikundi kadhaa vya watu vimeachwa nyuma kama vile watoto.Hizi ndizo takwimu