Huwezi kusikiliza tena

Je Marekani inahofia China Afrika?

Rais Barack Obama wa Marekani, wiki hii anatarajiwa kukutana na viongozi wa nchi zipatazo 50 za Afrika, mjini Washngton.

Je mkutano huo una maana gani kwa nchi hizo za Afrika?

Paul Nabiswa anaangazia mkutano huo utakaokutanisha viongozi wa Afrika na Rais Obama.