Amnesty:Jeshi liliua Nigeria Kaskazini
Huwezi kusikiliza tena

Amnesty:Jeshi liliua Nigeria Kaskazini

Shirika linalopigania haki za kibinadamu Amnesty International limesema kuwa linaushahidi wa Kutosha kuwa jeshi la Nigeria limetekeleza uhalifu wa kivita kaskazini Mashariki mwa taifa hilo walipokuwa wakipigana na Boko Haram.