Oromia Wapinga upanuzi wa Addis Ababa
Huwezi kusikiliza tena

Oromia Wapinga upanuzi wa Addis Ababa

Mipango ya serikali ya Ethiopia kupanua mji mkuu wake, imesababisha miezi kadhaa ya maandamano katika mkoa wa Oromia.

Maandamano hayo, mengi yakifanywa na wanafunzi, yalisababishwa na kile kijulikanacho kama mpango kabambe wa Addis Ababa.

Mwandishi wetu Emmanuel Igunza ameweza kufika katika mji wa Ambo, ambao ulishuhudia maandamano makubwa.