Huwezi kusikiliza tena

Elimu ya awali TZ,nani anawajibika?

Wiki hii katika Haba na Haba tunaangalia elimu ya awali nchini Tanzania. Je nani anawajibika?

Na je elimu ya awali inaweza kumjengea mtoto msingi mzuri ili akijiunga na elimu ya msingi awe mbunifu na mgunduzi?

Changia mawazo yako kupitia www.facebook.com/BBCHabanahaba au kupitia www.twitter.com/BBC_HabanaHaba