Marufuku tabiti Old Trafford
Huwezi kusikiliza tena

Teknolojia:Mashine ya kurusha Samaki

Katika makala ya wiki hii ya teknolojia ,Klabu ya soka ya Manchester United imepiga marufuku uingizwaji wa tabiti na komputa za Laptop uwanjani old Trafford.

Makala mengine ya mchezo wa komputa wa Lara Croft 'The Rise of Tomb Raider,' yapewa nafasi katika mifumo ya Xbox One na Xbox 360 zitakazotolewa rasmi mwishoni mwa mwaka 2015.

Nahatimaye kampuni ya Sony imetangaza siku ya uzinduzi wa TV yake mpya ya Playstation pamoja na tarehe ya uzinduzi.