Wacongo na Ebola

Imebadilishwa: 15 Agosti, 2014 - Saa 02:10 GMT

Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo ndio nchi ya kwanza barani Afrika ambako homa ya Ebola iligunduliwa.

Mwaka 1976, homa hiyo iliwapata watu wengi katika kijiji cha Yambuku ambako kunapita mto wa EBOLA, na ikathibitishwa kwamba homa hii inaambukizika kwa binadamu kupitia ulaji wa wanyama pori.

Pamoja na hayo, na licha ya kuzuka tena homa ya Ebola magharibi mwa bara la Afrika, baadhi ya watu nchini Congo wanafikiri maradhi ya Ebola ni uongo mtupu.

Sikiliza ripoti ya Lubunga Byaombe

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.