Huwezi kusikiliza tena

Tanzania yathibitisha hakuna Ebola

Kumekuwa na taarifa za kuwepo watu wawili walioambukizwa virusi vya Ebola nchini Tanzania, Zuhura Yunus amezungumza na Waziri wa Afya wa nchi hiyo Dk Seif Rashid, kutaka uthibitisho wa suala hilo.