Huwezi kusikiliza tena

Twitter kufuta picha za waliofariki

Mtandao wa kijamii wa Twitter unatarajiwa kuanza kufuta picha za watu waliofariki ambao katika maisha yao walikuwa wanatumia mtandao huo.

Kwa taarifa hii na nyinginezo tazama hapa.