Huwezi kusikiliza tena

Al Shabaab ni kundi la aina gani?

Wanamgambo wa Al Shabaab wanapambana na serikali ya Somalia inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, na wanashukiwa kufanya mashambulizi ya mara kwa mara nchini Kenya.

Kundi hilo ambalo lina uhusiano na Al-Qaeda, limetolewa katika maeneo ambayo yalikuwa yakidhibitiwa nalo lakini bado ni tisho kubwa kwa usalama wa nchi hiyo.

Haya hapa maelezo kuhusu kundi hilo katika sekunde 60.