Huwezi kusikiliza tena

Mabomu yanavyotumika kuvua TZ

Ni biashara inayoleta kipato kikubwa, mamilioni ya dola kwa mwaka.

Karibu asilimia kumi ya watanzania wanajihusisha na sekta ya uvuvi, kwa njia moja au nyingine, na kwa kutumia njia halali. Huku kukiwa na fedha nyingi, sekta hiyo inamulikwa pia na njia haramu.

Moja wapo ni uvuvi wa kutumia baruti, katika kupata samaki kwa njia rahisi.

Jambo hilo haliathiri uchumi pekee, bali pia mazingira kama alivyoshuhudia Salim Kikeke nchini Tanzania