Huwezi kusikiliza tena

Enzi ya kutibu kwa Mabuu yanukia Kenya

Hivi Kairbuni huenda hospitali nchini Kenya zikaanza kutumia Mabuu kama tiba.

Nchi hiyo inasubiri utaratibu wa matumizi ya tiba hiyo ambayo imeonekana kutumika enzi za enzi.

Uchunguzi wa awali uliowasilishwa mapema mwaka huu umeonyesha kuwepo matokeo mazuri.

Nchi kadhaa duniani ikiwemo Marekani na Uingereza tayari zinatumia Mabuu hao kutibu vidonda.

Anne Soy ana taarifa zaidi kutoka Nairobi.