Huwezi kusikiliza tena

Wanandoa watimiza miaka 80 pamoja

Wanandoa kutoka Bournemouth kusini mwa England, wanasherehekea miaka 80 ya ndoa yao.

Maurice na Hellen Kaye ambao wote wana umri zaidi ya miaka 100, walikutana mwaka 1928 wakati Helen alipokuwa msichana wa umri wa miaka 15 tu. Nini siri ya mafanikio yao hayo.

Zuhura Yunus anaeleza zaidi.