Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa Rock wakita A.Mashariki

Katika kanda ya Afrika Mashariki, vijana wengi wanakumbatia muziki wa kizazi kipya ambao unahusisha lugha zetu hasa Kiswahili.

Lakini msanii mmoja ameamua kuvunja mwiko kwa kuzingatia mtindo wa Rock ambao hupendwa sana na watu kutoka mataifa ya Magharibi.

Mwandishi wa BBC Anne Soy alimtembelea Wintel katika studio zake na kumuuliza nini hasa kilichomvutia kufanya muziki wa kiingereza.