Je Iphone 6 imeitongea Apple ama imeifaidi ?
Huwezi kusikiliza tena

Iphone 6 yaitongea Apple

Kampuni inayotengeneza simu maarufu ya Iphone, Apple imekanusha kuwa simu zao za Iphone 6 zinajipinda.

Hata hivyo Apple ililazimika kuomba msamaha kufuatia hitilafu iliyosababisha programu mpya IOS 8 kuondolewa.

Tizama makala ya wiki hii ya Teknolojia ujue yanayojiri katika ulimwengu wa digitalia.