Huwezi kusikiliza tena

TZ:Vijana wanavyokomoana mitandaoni

Nchini Tanzania baadhi ya vijana wamekuta picha zao wakiwa uchi zikienezwa katika mitandao ya kijamii kutokana na matumizi mabaya ya mitandao hiyo.

Baadhi yao wanasema picha hizo huwekwa bila idhini yao na wapenzi au hata marafiki kwa lengo la kukomoana au kudhalilishana kimapenzi.

Kutoka Dar es Salaam, mwandishi wetu Lizzy Masinga anaeleza