Huwezi kusikiliza tena

Madai ya Kagame kudungua ndege

Mkuu wa majeshi wa zamani nchini Rwanda ,jenerali Kayumba Nyamwasa ameiambia BBC kwamba anaamini Raisi Paul Kagame wa Rwanda alihusika na udunguliwaji wa ndege na kifo cha rais wa zamani wa Rwanda hayati Juvenal Habyarimana pamoja na mwenziwe kutoka Burundi mnamo mwaka 1994 , mauaji ambayo Nyamwasa anasema yalikuwa chanzo cha mauaji ya kimbari nchini Rwanda.

Pamoja na shutuma hizo za Nyamwasa, daima Rais wa Rwanda Paul Kagame amekanusha kuhusika kwake na mauaji hayo.

Taarifa ya uchunguzi ya mwandishi wa BBC Jane Corbin inasomwa na Ben Mwang'onda

Ni taarifa ya uchunguzi ya Mwandishi wa BBC Jane Corbin