Huwezi kusikiliza tena

Songhoy Blues:Sauti tamu ya Mali

Bendi ya nne katika makala maalum yua ngoma ya Afrika inatoka Mali.

"Muziki kwetu ni kama mwanamke mrembo ambaye tunampenda sana," anasema Aliou Toure, kiongozi wa bendi ya Songhoy Blues.

Wakati ambapo wapiganaji wa kiisilamu walipoteka mji wa Timbuktu na kuharamisha mziki, bendi ya Songhoy Blues, haikuwa na namna bali kuondoka majumbani mwao kusini mwa Mali.

Lakini mzuiki wao bado unawika.