Huwezi kusikiliza tena

Mkenya aliyebadili jinsia ashinda kesi

Mahakama Kuu nchini Kenya imeliamuru Baraza la mitihani la Taifa, kubadilisha majina katika vyeti vya mitihani vya elimu ya juu vya Andrew Mbugua na kuwa Audrey Mbugua, chini ya siku arubaini baada ya mtu huyo kubadilisha jinsia bila kuonesha jinsia yake kama ni mwanaume au mwanamke.

Mwandishi wetu Emmanuel Igunza amezungumza na Audrey.