Huwezi kusikiliza tena

Rais Uhuru Kenyatta mbele ya ICC

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya yuko ICC kujibu malalamiko ya upande wa mashitaka kuwa serikali yake inabana ushahidi unaohitajika katika kesi ya ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi yake