Huwezi kusikiliza tena

Mizani ya Imani ya kikatoliki duniani

Viongozi wa kanisa katoliki kutoka kote duniani wanakutana kwa wiki mbili mjini Rome kujadili mbinu za kuboresha mafunzo kuhusu maswala ya ndoa, familia na maswala ya unyumba kwa waumini.

Huku jamii ya waumini wa kikatoliki ikiendelea kupunnguka katika baadhi ya maeneo ya dunia, idadi hiyo inaelekea kuongezeka barani Afrika bara hilo likiwa na waumini milioni 200.

BBC inatathmini umuhimu wa imani ya kikatoliki barani katika sekunde 60.