Huwezi kusikiliza tena

Omawumi Megbele sauti ya ninga Nigeria

Omawumi Megbele ni mwanamuziki wa Nigeria na muigizaji mwenye sauti ya ninga , mcheshi na anayependwa na watu wengi.

Alianza kusifika mwaka 2007 na ameshinda tuzo kadhaa nchini Nigeria pamoja na kuhusika katika vipindi kadhaa vya televisheni.

Kwa mengi zaidi kumhusu mwimbaji huyu, tazama.