Huwezi kusikiliza tena

Mgonjwa atibiwa Uraibu wa Internet

Wanasayansi wamemtibu mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 31 nchini Marekani kwa wanachokisema kuwa uraibu wa kutumia mtandao wa Internet kupita kupitia kiasi kutokana na kutumia sana miwani ya 'Google Glass,' hata hivyo mwanamume huyo alikuwa amevalia miwani hiyo kwa zaidi ya saa 18.

Kwa taarifa hii na nyinginezo za teknolojia tazama makala yetu ya kila wiki ya teknolojia