Zambia yasheherekea miaka 50 bila ya Satya
Huwezi kusikiliza tena

Miaka hamsini ya Zambia 50 bila Sata

Wazambia leo wamesheherekea miaka hamsini ya uhuru wa nchi hiyo.

Nchi ambayo ilikumbwa na matatizo kama mfumuko wa bei, uchumi wake unaonekana kuwa na matumaini kwa siku za usoni.

Lakini licha ya kukua kwa zaidi ya asilimia sita kila mwaka tangu mwaka 2006, umaskini bado umesambaa.

Haya yanatokea huku afya ya Rais wake Michael Sata akiwa nje kwa matibabu.

Ina maana kuwa Waziri wa Ulinzi Edgar Lungu anashikilia majukumu ya kila siku.

Zawadi Machibya anaarifu zaidi.