Maandamano nchini Hungary yanaendelea dhidi ya mpango wa serikali wa kutaka kuwatoza kodi wanaotumia mtandao
Huwezi kusikiliza tena

Waandamana kupinga kodi ya mtandao

Image caption Maandamano hungary

Maandamano nchini Hungary yanaendelea dhidi ya mpango wa serikali wa kutaka kuwatoza kodi wanaotumia mtandao.Ada hiyo itamaanisha kwamba watoaji huduma ya Mtandao watalazimika kulipa senti 62 za dola ya marekani kwa kila data itakayotumika.Wapinzani wanesema kuwa ni kodi dhidi ya uhuru wa kujieleza na maandamano hayo hayajazimwa na ahadi ya kuweka ada hiyo kuwa dola 2 na senti 92 kwa mwezi kwa kila mtumizi.