Huwezi kusikiliza tena

Zoezi la vyeti vya kuzaliwa Tanzania

Wakala wa Usajili,Ufilisi na Udhamini nchini Tanzania, RITA wamezindua mpango wa utoaji wa vyeti vya kuzaliwa katika shule za msingi ili kukabiliana na tatizo la ukosefu wa vyeti miongoni mwa watoto wengi nchini humo.

Mpango umeanzia jijini Dar es Salaam kama sehemu ya utekelezaji wa mkakati wa usajili wa watoto walio na umri kati ya miaka 6 na 18 uliobuniwa kukabiliana na changamoto ya wananchi wengi nchini humo kukosa vyeti vya kuzaliwa.

Mwandishi wetu Regina Mziwanda kutoka Dar es Salaam ameandaa taarifa ifuatayo: