Viongozi wa Afrika wamuaga Rais Sata
Huwezi kusikiliza tena

Viongozi wa Afrika wamuaga Rais Sata

Wazambia leo wametoa heshima zao za mwisho kwa Rais wao Michael Sata mjini Lusaka.

Bw Sata alifariki dunia katika hospitali moja mjini London mwezi uliopita.

Viongozi wa Afrika wa ukanda huo ni miongoni mwa maelfu ya watu waliohudhuria mazishi hayo katika uwanja wa taifa mjini Lusaka.

Michael Sata, alichaguliwa Rais wa Zambia mwaka 2011.

Dennis Okari alikuwa Lusaka