Je kutupa picha za mpenzi wa zamani ni haki ?
Huwezi kusikiliza tena

Je kutupa picha za mpenzi wa zamani ni haki ?

Kukomoana kwa kuchapisha picha za Utupu za mtu binafsi, bila yeye mwenyewe kujua, imekuwa ni suala kuu duniani katika miaka ya hivi karibuni.

Nchini Uganda picha za utupu za mwanamuziki Desire Luzinda zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na magazetini.

Inasemekana mpenzi wake wa zamani ndiye aliyechapisha picha hizo kwa lengo la kumuadhibu mwanamuziki huyo.

Waziri wa maadili nchini humo anataka mwanamuzki huyo akamatwe kwa kupiga picha za utupu.

Suluma Kassim, anatuelezea zaidi.: