Huwezi kusikiliza tena

TZ: Wengi wana uelewa finyu kuhusu HIV

Nchini Tanzania imeelezwa kuwa baadhi ya jamii ya wananchi hawana uelewa kuhusu elimu ya utoaji huduma za virusi vya ukimwi na uzuiaji virusi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.

Kutokana na hali hiyo wizara ya Afya na ustawi wa jamii kwa kushirikiana na shirika la kuhudumia watoto wanaoishi na HIV na ukimwi (EGPFA),Umoja wa Mataifa, UNICEF na wadau wengine wa Afya wameingia katika mjadala juu ya suala hilo.

Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda ana Taarifa kamili kutoka mjini Dar es Salaam.