Mbunge Kangi Lugola
Huwezi kusikiliza tena

Hali ya hewa yachafuka bungeni Tanzania.

Haki miliki ya picha bbc
Image caption Mbunge Kangi Lugora

Tuhuma za wizi wa fedha Dola za Marekani milioni 200 kutoka Benki Kuu ya Tanzania zimechafua hali ya hewa ndani ya Bunge la nchi hiyo baada ya kutolewa taarifa kuwa kuna barua yenye kuzuia Bunge hilo kujadili ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa hesabu za serikali kwa madai kwamba suala hilo lipo mahakamani.

Ripoti hiyo ilikabidhiwa kwa uongozi wa Bunge hilo wiki hii na inatarajiwa kujadiliwa na kutolewa uamuzi juma lijalo. Hata hivyo wabunge kadhaa bila kujali mafungamano ya vyama vyao wamechachamaa na kuungana kwa pamoja wakitaka ripoti ya uchunguzi huo iwasilishwe kama ilivyopangwa.

Baruan Muhuza amefanya mahojiano na Mbunge Kangi Lugora