snapchat
Huwezi kusikiliza tena

Snapchat sasa kutumika kutuma fedha

Programu ya ujumbe ya Snapchat sasa itawaruhusu watumiaji wake kutuma pesa kwa marafiki zao. Huduma hiyo mpya kwa jina snapcash inadaiwa kutuma pesa kwa haraka mbali na kuwafurahisha wanaotumia.Huduma ya mtandao wa facebook Watsapp pia inatumia picha ikijiribu kutafuta usalama wa data yake ili kutoa huduma kama hiyo.Ikiwa inapitikana katika mfumo wa Android,ni swala linalofanya kuwa vigumu kusikiliza ujumbe unaotumwa.