Huwezi kusikiliza tena

Onyo kwa wanaowavua wanawake nguo Kenya

Polisi nchini Kenya wametangaza kuanzisha kikosi maalum ya kuwasaka wanaume watakaohusika na vitendo vya kuwavua wanawake nguo hadharani.

Hiyo ni mojawapo ya hatua za serikali ya Kenya kukomesha dhulma dhidi ya wananawake.

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amelaani vitendo vyote vya dhulma dhidi ya wanawake, na kusaini sera mpya ya kulinda haki za wanawake.

Mwandishi wa BBC Frenny Jowi al