Huwezi kusikiliza tena

Spika Bunge ,Afrika Mashariki aondoshwa

Spika wa Bunge la jumuiya ya Afrika mashariki Bi Margaret Nandongo Zziwa amesimamishwa kazi.

Uamuzi huo ulichukuliwa na wabunge wa EALA kwa madai kwamba spika huyo anaendeleza ubaguzi kwenye ajira, anafuja mali ya bunge na pia hana uongozi bora, madai ambayo Bi Zziwa anayakanusha vikali. Kutoka Nairobi, Wanyama wa Chebusiri anaarifu zaidi.