Huwezi kusikiliza tena

Ebola bado ni tisho kwa dunia

Mkuu wa kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kukabiliana na ugonjwa wa Ebola huko Afrika Magharibi, Tony Banbury, amesema ugonjwa huo bado unaweza kuendelea kusambaa duniani.