Huwezi kusikiliza tena

Je ushawahi kulala chini ya bahari?

Je ushawahi kufikiria kulala na samaki au ushawahi kuzungukwa na samaki?

Hoteli ya kwanza chini ya maji barani Afrika imefunguliwa kisiwani Pemba nchini Tanzania.

Hoteli hiyo ina umbali wa mita 250 kutoka baharini.

Muangalie Salim Kikeke akiwa kisiwani humo.