Huwezi kusikiliza tena

UN yanusurika shambulizi Somalia

Mlipuko mkubwa umetokea katika mji wa Mogadishu nchini Somalia karibu na uwanja wa ndege.

Takriban watu wanne wameuawa katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na msafara wa magari ya Umoja wa Mataifa mjini Mogadishu.