Huwezi kusikiliza tena

Boko:H yaendeleza mashambulizi Nigeria

Hali ya vurugu na mauaji inazidi kuwa mbaya Nigeria siku hadi siku. Siku ya Jumatatu wapiganaji wa Boko Haram walishambulia miji mikuu ya majimbo mawili kaskazini mashariki mwa nchi na kuua idadi kubwa ya watu. Siku chache kabla, wapiganaji hao waliwaua zaidi.