Huwezi kusikiliza tena

Ni nani wapinzani wakuu wa Mugabe?

Chama tawala nchini Zimbabwe Zanu-PFklinafanya kongamano lake la kuchagua vigogo wa chama mwezi huu.

Moja ya mada moto moto inayozungumziwa ni urithi wa uongozi wa chama na je ni nani atachukua usukani kutoka kwa Mugambe mwenye umri wa miaka 90.

Hata hivyo, Mugabe, yuko katika muhula wake wa saba na wala hakuna dalili zozote z akiongozi huyo kung'atuka.

Amekuwa akikabiliwa na changamoto lakini bado yuko ngangari.

Tunaangazia wapinzani wakuu wa Mugabe katika sekunde 90 .