Huwezi kusikiliza tena

Albino bado wanaishi kwa hofu TZ

Kampenzi kubwa imezinduliwa nchini Tanzania,ikiongozwa na Raisi Jakaya Kikwete,kutafuta fedha kwa ajili ya kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kama albino.

Katika miaka ya hivi karibuni,nchi hiyo imekuwa na matukio mengi ya mauaji ya albino kwa imani za kishirikina huku wahusika wakiamini kwamba viungo vya walemavu hao vinaweza kuwapatia utajiri.

Pesa itakayokusanywa kutokana na kampeni hiyo,itatumika katika elimu kwa umma .

Mwandishi wa BBC Salim kikeke anaarifu kutoka mjini Mwanza kaskazini mashariki mwa Tanzania.albinos