Huwezi kusikiliza tena

Wavuti wa Pirate Bay haupo tena

Mtandao ambao ulikuwa ukitumiwa kutoa filamu kinyume na sheria ,The Pirate Bay, ilizimwa baada ya msako kufanywa na polisi nchini Sweden.

Mtandao huo ambao umekuepo kwa miaka kumi na ambao unasifika kwa kuwawezesha watumia kupata filamu kinyume na shertia, tayari ulikuwa umezimwa katika nchi kadhaa.

Kwa taarifa hii na nyinginezo za teknolojia za teknolojia tazama