Huwezi kusikiliza tena

Wamaasai watoana kijasho 'Olimpiki' Kenya

Olimpiki ya wanariadha wamaasai imefanyika nchini Kenya wakati wa wikendi.

Mwanariadha anayeshikilia rekodi ya mita 800 duniani David Rudisha pamoja na wazee wa Kimaasai na wanaharakati wa kutunza mazingira walifadhili mashindano ya riadha , kurusha mikuki na rungu ambapo washindi walitangzwa kuwa mashujaa wajamii ya Kimaasai kando na kupewa nafasi ya kushiriki mashindo ya riadha ya New York Marathon.

Mwandishi wa BBC Frenny Jowi alihudhuria mashindaNo hayo yaliyofanyika kusini mwa Kenya.