Huwezi kusikiliza tena

Aendesha baiskeli kwa mguu mmoja

Christian Haettich ana mguu mmoja na mkono mmoja lakini ana kipaji cha hali ya juu cha kuendesha baiskeli. Je anawezaje hilo?